Pages

Thursday, 21 October 2021

Wanyama

 

bata

duck

bata mzinga

turkey

farasi

horse

jogoo

rooster

kondoo

sheep

mwanakondoo

lamb

kuku

chicken

mbuzi

goat

mwanambuzi

kid

mbwa

dog

ng'ombe

cow

ndama

calf

ngamia

camel

nguruwe

pig

paka

cat

punda

donkey

kasuku

parrot

njiwa

pigeon

nyumbu/baghala

mule

ndege

bird

kanga

guinea fowl

wanyama wa nyumbani

domestic animals

mnyama kipenzi

pet animal                       

chui

leopard

chura

frog

duma

cheetah

fisi

hyena

gwagu

wild cat

kasuku

parrot

kiboko

hippo

kima; tumbili

monkey

kinyonga; lumbwi

chameleon

kobe

tortoise

mjusi

lizard

ndovu; tembo

elephant

nyani

baboon

nyati; mbogo

buffalo

nyoka

snake

paa

deer

punda milia

zebra

simba

lion

swala

gazelle

twiga

giraffe

mamba

crocodile

chui mwenye milia

tiger

pomboo

dolphin

 

Mifano katika sentensi

 

1.      Unapenda wanyama gani wa porini?  [Which wild animals do you like?]

2.     Ninapenda kima, bundi, simba, na mjusi. [I like monkeys, owls, lions, and lizards.]

3.     Hupendi wanyama gani wa porini?  [Which wild animals do you dislike?]

4.    Sipendi vifaru, buku, nyati, na punda milia. [I dislike rhinoceroses, giant rats, buffalo, and zebras.]

5.     Je, una mnyama kipenzi? [Do you have a pet?]

6.    Ndio, nina mbwa. [Yes, I have a dog.]

 

 

Hadithi 1: Tazama Wanyama

(Source: African Storybook)


 Ng’ombe anasema, “Moo.”

 





 


Mbuzi anasema, “Mee, mee.”

 

 




 


Farasi anasema, “Nei.”

 

 





 Nguruwe anasema, “Ngruu.”

 

 

 




 Kuku anasema, “Ko, ko, ko.”

 

 




 


Mbwa anasema, “Wouh, wouh.”

 





 
Mkulima anasema, “Nyamaza!”

 

 

 




Hadithi 2: Kuhesabu wanyama

(Source: African Storybook)

 


 Tembo mmoja anakwenda kunywa maji.

 





 


Twiga wawili wanaenda kunywa maji.

 

 




 


Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji.

 

 




 


Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji.

 

 





 Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji.

 

 





 Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji.

 

 





 Simba mmoja anaguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba?

 

 





 Tembo mmoja anakunywa maji na simba.

 

 

 

No comments:

Post a Comment

Please leave your comment/question or suggestion.