Demonstratives indicate “this”, “these”, “that” and “those” objects.
Demonstratives
must agree with the noun they qualify.
Mifano:
1.
Mtu huyu
analala [This
person is sleeping]
2.
Watu hawa
wanalala [These
people are sleeping]
3.
Mti ule
ni mrefu sana [That
tree is very tall]
4.
Miti ile
ni mirefu sana [Those
trees are very tall]
5.
Hilo ni jina zuri [That is a good name]
6.
Hayo ni majina
mazuri [Those are good names]
7.
Kiti hiki
ni changu [This
chair is mine]
8.
Viti hivi
ni vyangu [These
are my chairs]
9.
Ndizi hiyo
ni tamu [That
banana is delicious]
10.
Ndizi hizo
ni tamu [Those
bananas are delicious]
11.
Ukuta ule
ulijengwa [That
wall was built]
12.
Kuta zile
zilijengwa [Those
walls were built]
Exercise 1
Translate the following phrases. (The noun class has been provided for you)
a)
Those fruits (JI/MA)
b)
These tourists (M/WA)
c)
Those trees (far away) (M/MI)
d)
Those harvests (JI/MA)
e)
These farmers (M/WA)
f)
This bus (JI/MA)
g)
That elder (far away) (M/WA)
h)
These books (KI/VI)
i)
This bread (M/MI)
j)
That soap (N)
k)
This tooth (JI/MA)
l)
Those cups (far away) (KI/VI)
m)
This chair (KI/VI)
n)
Those plates (N)
o)
Those women (far away) (M/WA)
p)
That thing (KI/VI)
q)
Those seeds (far away) (N)
r)
These walls (U)
s)
That tree (M/MI)
t)
This cooperation (U)
Exercise 2
Ikiwa gari lipo karibu na Maria. Maria atasema _________
Gari lile
Gari hiki
Gari hili
Gari hilo
Ikiwa simu yako ipo mbali kidogo. Utamwambiaje mtu?
Nipe simu hii.
Nipe simu hiyo.
Nipe simu ile.
Nipe simu.
Ndovu _____________ ni mkubwa.
hili
yule
zile
hiki
Nyumba___________ni yake.
Hiki
Hilo
Hii
Hicho
Kijiko____________ni changu.
Hiki
Ile
Hilo
Hili
Translate: This house is mine.
Nyumba hii ni yangu.
Nyumba ile ni yangu.
Nyumba hiyo ni yangu.
Nyumba zile ni zangu.
Translate: That dress belongs to Mila.
Rinda lile ni la Mila.
Rinda hili ni la Mila.
Rinda ile ni ya Mila.
Rinda zile ni za Mila.
Tafsiri: Vyumba hivi havipatikani.
These rooms are not available.
Those rooms are not available.
This room is not available.
These rooms are available.
Ndovu huyo anapendeza.
Those elephants are beautiful.
That elephant is beautiful.
This elephant is beautiful.
These elephants are beautiful.
Ua lile limenyauka.
That flower has withered.
This flower has withered.
Those flowers have withered.
The flower has withered.