Pages

Showing posts with label Listening Exercise: Unit 8 Dialogue 1. Show all posts
Showing posts with label Listening Exercise: Unit 8 Dialogue 1. Show all posts

Friday, 28 August 2026

Listening Exercise: Unit 8 Dialogue 1

 


Jibu maswali haya baada ya kusikiliza:

  1. Kwa nini wazazi wa Sandra wanakuja Tanzania?
  2. Wazazi wa Sandra watakaa kwa muda gani?
  3. Wazazi wa Leila watafika lini?
  4. Wazazi wa Sandra wako wapi sasa?
  5. Sandra ataenda kuwaona lini?
  6. Baba ya Sandra anataka kufanya nini Arusha?
  7. Kwa nini mama yake hatapanda Mlima Kilimanjaro?