Saturday, 3 February 2024
Thursday, 21 October 2021
Wanyama
bata |
duck |
bata mzinga |
turkey |
farasi |
horse |
jogoo |
rooster |
kondoo |
sheep |
mwanakondoo |
lamb |
kuku |
chicken |
mbuzi |
goat |
mwanambuzi |
kid |
mbwa |
dog |
ng'ombe |
cow |
ndama |
calf |
ngamia |
camel |
nguruwe |
pig |
paka |
cat |
punda |
donkey |
kasuku |
parrot |
njiwa |
pigeon |
nyumbu/baghala |
mule |
ndege |
bird |
kanga |
guinea fowl |
wanyama wa nyumbani |
domestic animals |
mnyama kipenzi |
pet animal
|
chui |
leopard |
chura |
frog |
duma |
cheetah |
fisi |
hyena |
gwagu |
wild cat |
kasuku |
parrot |
kiboko |
hippo |
kima; tumbili |
monkey |
kinyonga; lumbwi |
chameleon |
kobe |
tortoise |
mjusi |
lizard |
ndovu; tembo |
elephant |
nyani |
baboon |
nyati; mbogo |
buffalo |
nyoka |
snake |
paa |
deer |
punda milia |
zebra |
simba |
lion |
swala |
gazelle |
twiga |
giraffe |
mamba |
crocodile |
chui mwenye milia |
tiger |
pomboo |
dolphin |
Mifano katika sentensi
1.
Unapenda wanyama gani wa porini? [Which wild animals do you like?]
2.
Ninapenda kima, bundi, simba, na mjusi. [I like monkeys, owls, lions, and
lizards.]
3.
Hupendi wanyama gani wa porini? [Which wild animals do you dislike?]
4.
Sipendi vifaru, buku, nyati, na punda milia. [I dislike rhinoceroses, giant rats, buffalo, and zebras.]
5.
Je, una mnyama kipenzi? [Do you
have a pet?]
6. Ndio, nina
mbwa. [Yes, I have a dog.]
Hadithi 1: Tazama Wanyama
(Source: African Storybook)
Ng’ombe anasema, “Moo.”
Mbuzi anasema, “Mee, mee.”
Farasi anasema, “Nei.”
Nguruwe anasema, “Ngruu.”
Kuku anasema, “Ko, ko, ko.”
Mbwa anasema, “Wouh, wouh.”
Mkulima anasema, “Nyamaza!”
Hadithi 2: Kuhesabu wanyama
(Source: African Storybook)
Tembo mmoja anakwenda kunywa maji.
Twiga wawili wanaenda kunywa maji.
Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji.
Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji.
Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji.
Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji.
Simba mmoja anaguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba?
Tembo mmoja anakunywa maji na simba.