Pages

Showing posts with label CONJUNCTIONS. Show all posts
Showing posts with label CONJUNCTIONS. Show all posts

Tuesday, 8 November 2022

CONJUNCTIONS

 

Au/ ama

Or

Badala ya

Instead of

Basi

Then; well

Bila

Without

Ila

Except

Ili

So that

Ingawa

Although

Kama

If/ like

Kisha

And then

Kwa kuwa

Because

Kwa sababu

Because

Kwa hiyo/ kwa hivyo

Therefore

Lakini

But

Pamoja na

With/ together with

Pia

Also

Labda

Maybe

Hatimaye

Finally

Angalau

At least

Na

And

Huku

While/ As

 

 

1.      Ungependa chai au kahawa

Would you like to have tea or coffee

2.     Nipatie maji badala ya kahawa

Give me water instead of coffee

3.     Maji haya basi

Well, here is the water

4.    Usinipe kahawa ingawa naipenda

Don't give me coffee even though I like it

5.     Alimsalimia kisha akaondoka

He greeted him and then left

6.    Walienda pamoja na rafiki yangu

They went together with my friend

7.     Siji leo, labda kesho

I am not coming today, maybe tomorrow

 

 

Exercise 1: Translate

a)    I have got a brother and a sister

b)    My sister likes eating but doesn’t like to cook.

c)     We are not going to the hospital because it is closed

d)   This food is cold even though it is tasty

e)    He was ill so he stayed at home

f)      My dog was dirty but I did not give him a wash

g)    Are the questions right or wrong

h)   She is tired because she did not sleep last night

i)      We laughed as we danced


Exercise 2: Fill in the gaps

Mama anapenda kupika ____________ anaimba

ila

kabla

badala ya

huku


Lala mapema _______________ uweze kuamka asubuhi mapema

kisha

lakini

hatimaye

ili


Sikuweza kula_______________nilikuwa na njaa

ingawa

angalau

kwa sababu

kwa hiyo


Alikubali kunirudishia pesa zangu_____________________

zaidi

hatimaye

sawa

lakini


Piga mswaki_____________ mara mbili kila siku

kisha

halafu

angalau

baada ya


Nimeelewa _____________bado nina swali moja

kisha

halafu

lakini

hatimaye


Hakutaka kumwona__________________ hakuja nyumbani

kwa hiyo

angalau

ili

ingawa


Walikula______________wakanywa  sharubati

lakini

angalau

kisha

ingawa