Au/ ama |
Or |
Badala ya |
Instead of |
Basi |
Then; well |
Bila |
Without |
Ila |
Except |
Ili |
So that |
Ingawa |
Although |
Kama |
If/ like |
Kisha |
And then |
Kwa kuwa |
Because |
Kwa sababu |
Because |
Kwa hiyo/ kwa
hivyo |
Therefore |
Lakini |
But |
Pamoja na |
With/ together
with |
Pia |
Also |
Labda |
Maybe |
Hatimaye |
Finally |
Angalau |
At least |
Na |
And |
Huku |
While/ As |
1.
Ungependa chai au kahawa |
Would you like to have tea or coffee |
2.
Nipatie maji badala ya kahawa |
Give me water instead of coffee |
3.
Maji haya basi |
Well, here is the water |
4.
Usinipe kahawa ingawa naipenda |
Don't give me coffee even though I like it |
5.
Alimsalimia kisha akaondoka |
He greeted him and then left |
6.
Walienda pamoja na rafiki yangu |
They went together with my friend |
7.
Siji leo, labda kesho |
I am not coming today, maybe tomorrow |
Exercise 1: Translate
a)
I have got a brother and a sister
b)
My sister likes eating but doesn’t like to cook.
c)
We are not going to the hospital because it is
closed
d)
This food is cold even though it is tasty
e)
He was ill so he stayed at home
f)
My dog was dirty but I did not give him a wash
g)
Are the questions right or wrong
h)
She is tired because she did not sleep last night
i)
We laughed as we danced
Exercise 2: Fill in the gaps
Mama anapenda kupika ____________ anaimba
ila
kabla
badala ya
huku
Lala mapema _______________ uweze kuamka asubuhi mapema
kisha
lakini
hatimaye
ili
Sikuweza kula_______________nilikuwa na njaa
ingawa
angalau
kwa sababu
kwa hiyo
Alikubali kunirudishia pesa zangu_____________________
zaidi
hatimaye
sawa
lakini
Piga mswaki_____________ mara mbili kila siku
kisha
halafu
angalau
baada ya
Nimeelewa _____________bado nina swali moja
kisha
halafu
lakini
hatimaye
Hakutaka kumwona__________________ hakuja nyumbani
kwa hiyo
angalau
ili
ingawa
Walikula______________wakanywa sharubati
lakini
angalau
kisha
ingawa
No comments:
Post a Comment
Please leave your comment/question or suggestion.