Pages

Showing posts with label LEISURE ACTIVITIES. Show all posts
Showing posts with label LEISURE ACTIVITIES. Show all posts

Friday, 18 November 2022

TAFRIJA/BURUDANI [LEISURE ACTIVITIES]


Kutazama televisheni/runinga

Watching TV

Kusikiliza muziki

Listening to music

Uchoraji

Painting

Kuchora

Drawing

Kucheza

Dancing

Kupiga picha

Taking photos

Kutumia muda na familia

Spending time with family

Kuchukua usingizi

Taking a nap

Kuandika hadithi

Writing stories

Kusoma kitabu

Reading a book

Kusoma habari mtandaoni

Reading news online

Kutazama video mtandaoni

Watching videos online

Kuangalia akaunti za mitandao ya kijamii

Checking social media accounts

Kutuma ujumbe kwa marafiki

Sending messages to friends

Kuzungumza na marafiki

Chatting with friends

Kucheza kadi

Playing cards

Kucheza na mbwa

Playing with the dog

Kwenda kwenye sinema

Going to the movies

Kwenda kwenye makumbusho

Going to the museum

Kwenda katika chumba cha mazoezi

Going to the gym

Kwenda kwenye bustani

Going to the park

Kwenda ufukoni

Going to the beach

Kwenda kwa mkahawa

Gong to a café/restaurant

Kwenda maktabani

Going to the library

Kwenda kwa bustani ya tafrija

Going to an amusement park

Kwenda kwa matembezi

Going for a walk

Kwenda kununua vitu

Going shopping

Uvuvi

Fishing

Kuogelea

Swimming

Kupiga kambi

Camping

Kucheza michezo

Playing sports

Kucheza michezo ya video

Playing video games

Kucheza na marafiki

Playing with friends

Kucheza michezo ya bodi

Playing board games

Kucheza katika bendi

Playing in a band

Kucheza piano/gitaa/ngoma

Playing the piano/guitar/drums

Kucheza ala ya muziki

Playing a musical instrument

Kuimba

Singing

Kujifunza lugha mpya

Learning a new language

Kuendesha baiskeli

Riding a bike

Kupanda milima

Climbing mountains

Kuangalia nyota

Looking at the stars

Kukandwa

Getting a massage

Kutengeneza makucha

Getting nails done

Kushona

Knitting

Kuchekesha

Telling jokes

Kuoka / kupika

Baking/ cooking

Kupanda miti/maua

Planting trees/flowers

 


Exercise 

Translate: During my leisure time I sleep.

Mimi hulala kama nina shughuli za kufanya.

Mimi hulala wakati sina shughuli za kufanya.

Mimi hupenda kulala bila sababu.

Mimi sipendi kulala kama sina shughuli nyingi.


Translate: Mimi huimba nyimbo.

I usually sing.

I always sing.

I love singing songs

I don’t love singing songs.


Translate: The children like playing football.

Watu wanapenda kucheza.

Watoto wanapenda kucheza kandanda

Watoto hawapendi kucheza

Watoto hawapendi kucheza kandanda.


Mchoraji alichora picha_______

Zuri

Mzuri

Kizuri

Kibaya


Translate: Visit your grandparents when free

Watembelee mababu ukiwa na muda

Watembelee nyanya na babu ukiwa na muda

Watembelee wazazi wako ukiwa na muda

Usiwatembelee wazee wako ukiwa na muda


Translate: Poems are very attractive.

Mashairi hayavutii.

Mashairi yanachukiza

Mashairi yanapendeza

Mashairi hayaeleweki.


Tunaogelea kwenye_________________

Kidimbwi

Maktaba

Jikoni

Bustani


Translate: Ni vyema kusoma vitabu

It may be good to read

It is not very good to read

It is good to read books

Books are good even if not read.