Jibu maswali haya baada ya kusikiliza:
- Kwa nini wazazi wa Sandra wanakuja Tanzania?
- Wazazi wa Sandra watakaa kwa muda gani?
- Wazazi wa Leila watafika lini?
- Wazazi wa Sandra wako wapi sasa?
- Sandra ataenda kuwaona lini?
- Baba ya Sandra anataka kufanya nini Arusha?
- Kwa nini mama yake hatapanda Mlima Kilimanjaro?
No comments:
Post a Comment
Please leave your comment/question or suggestion.