Pages

Showing posts with label Comparisons. Show all posts
Showing posts with label Comparisons. Show all posts

Friday, 18 March 2022

COMPARATIVES


Kuliko

More than

zaidi ya

More than

Zaidi

More

Kupita kiasi

Extremely

Kushinda

Better than

Kama; sawasawa na; sawa na

Like; similar to

Tofauti na

Different from

Fanana na

Look like

Linganisha na

Compare with

 

 

 

 

Mifano katika sentensi.

a.     Nyumba yake ni kubwa kuliko ya Wanjiru.

[His or her house is bigger than Wanjiru’s.]

 

b.    Chumba hiki ni kikubwa kikilinganishwa na kile.

[This room is bigger compared to that one.]

 

c.     Matokeo hayo ni sawa na ya mwaka uliopita.

[Those results are similar to last year’s results.]

 

d.    Mavazi yangu yanafanana na mavazi ya malkia.

[My clothes are similar to the queen’s clothes.]

 

e.     Wimbo huu ni tofauti na uliochezwa jana.

[This song is different from the one played yesterday.]

 

f.       Wasichana hawa wanafanana.

[These girls look alike.]

 

g.     Salim ni mrefu zaidi ya wote.

[Salim is the tallest.]

 

h.    Karisa ni mfupi kuliko Chidinma. 

[Karisa is shorter than Chidinma.]

 

i.       Amani nchini ni sawa na utajiri, huleta maendeleo.

[Peace in a country is same as wealth, it brings development.]

 

j.       Simu yako ni ghali kupita kiasi.

[Your phone is too expensive.]

 

k.     Anakoishi ni karibu, tofauti na kwangu.

[Where he or she stays is nearer, unlike my place.]


Exercise 1

Translate: She is taller than Maria.

Yeye ni mrefu kuliko Maria.

Yeye ni mrefu kama Maria.

Yeye ni mfupi kuliko Maria.

Yeye sio mrefu.


Translate: He jumped higher than Luka.

Aliruka badala ya Luka.

Aliruka juu kuliko Luka.

Aliruka juu kama Luka.

Aliruka na Luka.


Translate to English: Linganisha

Like

Similar

Compare

Push


Translate: More than

Kidogo

Zaidi ya

Kando na

Karibu na


Which of the following is not a comparative?

Sawasawa na

Sana

Zaidi

Kabla ya


Translate to English: Alikuja mapema sana kuliko Joshua.

She came later than Joshua.

She came earlier than Joshua.

She did not come with Joshua.

She came with Joshua.


Translate to English: Nguo hii inapendeza zaidi ya ile.

The dress is similar to that.

The dress is more beautiful compare to that.

This dress is different.

This dress is less beautiful.


Exercise 2: Translate into Kiswahili

a.     My house is bigger than yours.

b.    That cow is fatter compared to the other one.

c.     My phone is better, compared to yours.

d.    According to Chidinma, my teacher is better than theirs.

e.     Today’s work is similar to the one done yesterday.

f.       This country is different from ours.

g.     Avoid him, he is very bad.

h.    I like coffee more than tea.

i.       You have put too much salt in the food.

j.       Being happy is better than having lots of money.