|
|
||||||||||||||||||
|
|
Mifano katika sentensi.
a.
Nyumba yake
ni kubwa kuliko ya Wanjiru.
[His
or her house is bigger than Wanjiru’s.]
b.
Chumba hiki
ni kikubwa kikilinganishwa na kile.
[This
room is bigger compared to that one.]
c.
Matokeo
hayo ni sawa na ya mwaka uliopita.
[Those
results are similar to last year’s
results.]
d.
Mavazi
yangu yanafanana na mavazi ya malkia.
[My
clothes are similar to the queen’s
clothes.]
e.
Wimbo huu
ni tofauti na uliochezwa jana.
[This
song is different from the one
played yesterday.]
f.
Wasichana
hawa wanafanana.
[These
girls look alike.]
g.
Salim ni
mrefu zaidi ya wote.
[Salim
is the tallest.]
h.
Karisa ni
mfupi kuliko Chidinma.
[Karisa
is shorter than Chidinma.]
i.
Amani
nchini ni sawa na utajiri, huleta
maendeleo.
[Peace
in a country is same as wealth, it
brings development.]
j.
Simu yako
ni ghali kupita kiasi.
[Your
phone is too expensive.]
k.
Anakoishi
ni karibu, tofauti na kwangu.
[Where
he or she stays is nearer, unlike my
place.]
Exercise 1
Translate: She is taller than Maria.
Yeye ni mrefu kuliko Maria.
Yeye ni mrefu kama Maria.
Yeye ni mfupi kuliko Maria.
Yeye sio mrefu.
Translate: He jumped higher than Luka.
Aliruka badala ya Luka.
Aliruka juu kuliko Luka.
Aliruka juu kama Luka.
Aliruka na Luka.
Translate to English: Linganisha
Like
Similar
Compare
Push
Translate: More than
Kidogo
Zaidi ya
Kando na
Karibu na
Which of the following is not a comparative?
Sawasawa na
Sana
Zaidi
Kabla ya
Translate to English: Alikuja mapema sana kuliko Joshua.
She came later than Joshua.
She came earlier than Joshua.
She did not come with Joshua.
She came with Joshua.
Translate to English: Nguo hii inapendeza zaidi ya ile.
The dress is similar to that.
The dress is more beautiful compare to that.
This dress is different.
This dress is less beautiful.
Exercise 2: Translate into Kiswahili
a.
My house is
bigger than yours.
b.
That cow is
fatter compared to the other one.
c.
My phone is
better, compared to yours.
d.
According
to Chidinma, my teacher is better than theirs.
e.
Today’s
work is similar to the one done yesterday.
f.
This
country is different from ours.
g.
Avoid him,
he is very bad.
h.
I like
coffee more than tea.
i.
You have
put too much salt in the food.
j.
Being happy
is better than having lots of money.
No comments:
Post a Comment
Please leave your comment/question or suggestion.