There are two ways to construct the relative clause “that, which, who”
1.
Using amba-
2.
Using infix -o-
AMBA |
-0- |
|
Mtu ambaye alisoma |
mtu aliyesoma |
[the person
who/that studied] |
Watu ambao walisoma |
watu waliosoma |
[the people
who/that studied] |
Kiti ambacho kilianguka |
kiti kilichoanguka |
[the chair
which/that fell] |
Viti ambavyo vilianguka |
viti vilivyoanguka |
[the chairs
which/that fell] |
Mti ambao ulikatwa |
mti uliokatwa |
[the tree
which/that was cut] |
Miti ambayo ilikatwa |
miti iliyokatwa |
[the trees
which/that were cut] |
Gari ambalo linasafishwa |
gari linaloshafishwa |
[the car
which/that is been cleaned] |
Magari ambayo yanasafishwa |
magari yanayoshafishwa |
[the cars
which/that are been cleaned] |
Noun class |
“that, which, who” |
1. M-WA |
Mtu ambaye Watu ambao |
2. M-MI |
Mti ambao Miti ambayo |
3. JI-MA |
Jina ambalo Majina ambayo |
4. KI-VI [Cha-Vya] |
Chakula ambacho Vyakula ambavyo |
5. N |
Nyumba ambayo Nyumba ambazo |
6. U |
Ukuta ambao Kuta ambazo |
7. KU |
Kusoma ambako |
8. PA, KU, MU |
Pahali ambapo Mahali ambako Mahali ambamo |
Zoezi [Exercise 1]
Kikombe____________kimevunjika
Ambaye
Ambako
Ambacho
Ambalo
Viatu _________vimenunuliwa ni vyake
Ambavyo
Ambayo
Ambacho
Ambaye
Mwalimu _______atatufundisha
Ambaye
Ambao
Ambayo
Ambalo
Kazi __________ anaifanya ni nzuri
Ambayo
Ambaye
Ambacho
Ambalo
Mgeni amba____atakuja ni waziri
lo
ko
ye
cho
Nyumba amba_____ itajengwa ni ya babu
ye
yo
ko
lo
Ukuta ______ulianguka
ambayo
ambaye
ambao
ambazo
Mti ___________ utakatwa ni wa babu
ambao
ambaye
ambalo
ambacho
Mahali _________anasimama pamefagiliwa
ambamo
ambayo
ambako
Daraja __________ lilianguka limetengenezwa
ambazo
ambayo
ambalo
ambako
Nyumba amba____ imeanguka itajengwa
zo
ye
yo
lo
Chai amba___ itapikwa ni ya wageni
o
zo
yo
po
Wanyama amba__ wamepatikana ni wengi
ye
o
lo
zo
Exercise 2
Translate to Kiswahili in two ways; using ‘amba’ and ‘-o- reference.’
E.g., The child
that is crying: Mtoto ambaye analia
Mtoto
anayelia
1.
The person who cooked is this one.
2.
The people who cooked are these ones.
3.
The chair that was sold is mine.
4.
The chairs that were sold are mine.
5.
The women who ran.
6.
The guests who arrived yesterday.
7.
The bus that picked him up.
8.
The house which will be sold tomorrow.
9.
The reading which was bad.
10. The
window which was cleaned.