|
Kutazama
televisheni/runinga |
Watching TV |
|
Kusikiliza muziki |
Listening to
music |
|
Uchoraji |
Painting |
|
Kuchora |
Drawing |
|
Kucheza |
Dancing |
|
Kupiga picha |
Taking photos |
|
Kutumia muda na
familia |
Spending time
with family |
|
Kuchukua usingizi |
Taking a nap |
|
Kuandika hadithi |
Writing stories |
|
Kusoma kitabu |
Reading a book |
|
Kusoma habari
mtandaoni |
Reading news
online |
|
Kutazama video
mtandaoni |
Watching videos
online |
|
Kuangalia akaunti
za mitandao ya kijamii |
Checking social
media accounts |
|
Kutuma ujumbe kwa
marafiki |
Sending messages
to friends |
|
Kuzungumza na
marafiki |
Chatting with
friends |
|
Kucheza kadi |
Playing cards |
|
Kucheza na mbwa |
Playing with the
dog |
|
Kwenda kwenye
sinema |
Going to the
movies |
|
Kwenda kwenye
makumbusho |
Going to the
museum |
|
Kwenda katika
chumba cha mazoezi |
Going to the gym |
|
Kwenda kwenye
bustani |
Going to the park |
|
Kwenda ufukoni |
Going to the
beach |
|
Kwenda kwa
mkahawa |
Gong to a
café/restaurant |
|
Kwenda maktabani |
Going to the
library |
|
Kwenda kwa
bustani ya tafrija |
Going to an
amusement park |
|
Kwenda kwa
matembezi |
Going for a walk |
|
Kwenda kununua
vitu |
Going shopping |
|
Uvuvi |
Fishing |
|
Kuogelea |
Swimming |
|
Kupiga kambi |
Camping |
|
Kucheza michezo |
Playing sports |
|
Kucheza michezo
ya video |
Playing video
games |
|
Kucheza na
marafiki |
Playing with
friends |
|
Kucheza michezo
ya bodi |
Playing board
games |
|
Kucheza katika
bendi |
Playing in a band |
|
Kucheza
piano/gitaa/ngoma |
Playing the
piano/guitar/drums |
|
Kucheza ala ya
muziki |
Playing a musical
instrument |
|
Kuimba |
Singing |
|
Kujifunza lugha
mpya |
Learning a new
language |
|
Kuendesha
baiskeli |
Riding a bike |
|
Kupanda milima |
Climbing
mountains |
|
Kuangalia nyota |
Looking at the
stars |
|
Kukandwa |
Getting a massage |
|
Kutengeneza
makucha |
Getting nails
done |
|
Kushona |
Knitting |
|
Kuchekesha |
Telling jokes |
|
Kuoka / kupika |
Baking/ cooking |
|
Kupanda miti/maua |
Planting
trees/flowers |
Exercise
Translate: During my leisure time I sleep.
Mimi hulala kama nina shughuli za kufanya.
Mimi hulala wakati sina shughuli za kufanya.
Mimi hupenda kulala bila sababu.
Mimi sipendi kulala kama sina shughuli nyingi.
Translate: Mimi huimba nyimbo.
I usually sing.
I always sing.
I love singing songs
I don’t love singing songs.
Translate: The children like playing football.
Watu wanapenda kucheza.
Watoto wanapenda kucheza kandanda
Watoto hawapendi kucheza
Watoto hawapendi kucheza kandanda.
Mchoraji alichora picha_______
Zuri
Mzuri
Kizuri
Kibaya
Translate: Visit your grandparents when free
Watembelee mababu ukiwa na muda
Watembelee nyanya na babu ukiwa na muda
Watembelee wazazi wako ukiwa na muda
Usiwatembelee wazee wako ukiwa na muda
Translate: Poems are very attractive.
Mashairi hayavutii.
Mashairi yanachukiza
Mashairi yanapendeza
Mashairi hayaeleweki.
Tunaogelea kwenye_________________
Kidimbwi
Maktaba
Jikoni
Bustani
Translate: Ni vyema kusoma vitabu
It may be good to read
It is not very good to read
It is good to read books
Books are good even if not read.



